Kile kitendawili ambacho kimechukua muda mrefu kuweza kutenguliwa, sasa kimepata jawabu baada ya Mh.Samuel Sita kuchaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa kudumu wa Bunge la Katiba...
Baada ya kumshinda mshindani wake Mh.Hashim Rungwe, kwa kura nyingi.. Kila la kheri kwako. |
0 comments:
Post a Comment