Monday, March 31, 2014
0
Watoto wakicheza juu ya majengo, sababu chini hakuna nafasi..
Huko hong Kong kuna mji unaitwa  "Walled" ambao kuna sehemu yapo majengo ya ghorofa yaliyobanana huko wakiishi watu zaidi ya 33,000.. Wataalamu wa majengo wanasema hilo ni kosa kubwa kabisa lililowahi kufanywa katika taaluma yao.
Yaani hayo majengo yamekaribiana kiasi unaweza toka jengo moja kwenda lingine bila usumbufu wowote. Lakini pia hata hewa ni ya taabu sana haswa kwa yale majengo yaliyomo katikati, Humo ndani kuna biashara zinafanyika, ikiwamo...
ufugaji wa Nguruwe. Yaani ni shida hebu pata picha unapita kwenye Corridor unapishana na Nguruwe kwelii!!??

Hizo ni ghorofa..
Ni kweli yametokea..

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA