Basi la kwanza nchini Uingereza linalotumia kinyesi na uchafu unaotokana na chakula limeanza safari yake ya kwanza. Bio Bus,lenye viti...
BLOGU MARAFIKI
KUHUSU MIMI
IVORY COAST KUFUNGIWA NA "CAF" SABABU YA FUJO UWANJANI..!!??
Timu ya soka ya Ivory Coast huenda ikakabiliwa na vikwazo baada ya mashabiki wake kuvamia uwanja mjini Abidjan baada ya kupata fursa ...
AL-SHABAB YAZIDI KUIVURUGA KENYA..!!??
Mtu mmoja ameripotiwa kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika mapigano katika mji wa Mombasa pwani ya Kenya. Polisi walipambana na v...
"WACHAW 7I" WACHOMWA MOTO HADI KUFA..!!
Polisi nchii Tanzania wanasema watu 7 wameuawa kwa kuchomwa katika eneo la Kigoma magharibi mwa nchi hiyo kwa tuhuma za uchawi. Nyumba ...
EBOLA YAVURUGA SIKUKUU HUKO "AFRIKA MAGHARIBI"
Ripoti kutoka Magharibi mwa Afrika zinasema kuwa sherehe za Eid Ul Adhaa zimeathiriwa vibaya na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola. Nchini Gui...
MAMA ALIYEKOSA "KIZAZI" AJIFUNGUA MTOTO..!!
Mwanamke mmoja nchini Sweden amejifungua mtoto kutokana na kizazi alichowekewa kupitia upasuaji. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 36 ...
WAFUNGWA WAPIGWA RISASI MAHAKAMANI, WALITAKA TOROKA..!!
Wafungwa wawili wamepigwa risasi walipokuwa wakijaribu kutoroka kutoka katika mahakama moja nchini Afrika Kusini. Afisa mmoja kutoka w...
MWALIMU ATUNDIKWA KWA MISUMARI NA MAJAMBAZI..!!
Mwalimu wa kanisa Katoliki, Magharibi ya Kenya alijikuta taabani baada ya kutekwa nyara na majambazi waliomtesa pamoja na kumpiga msu...
MTOTO WA RAIS OLESEGUN ABASANJO APIGWA RISASI..!!
Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Nigeria, Olesugun Obasanjo amejeruhiwa kwa risasi wakati wa mapambano na wanamgambo wa kiislamu Boko Haram...
WAKAMATWA KWA KUHUDHURIA HARUSI YA MASHOGA..!!
Maafisa wa utawa...
MAFURIKO YAUA WATU ZAIDI YA 200, NA KUHARIBU MIUNDOMBINU.
Mafuriko katika eneo la Kashmir ...
NYANI AAMUA KUGAWA FEDHA KWA BINADAMU HUKO INDIA..!!
Nyani hawa aina ya Macaque huabudiwa na watu nchini India ...
BOKO HARAM YAENDELEA KUJITANUA, JE INAWEZA KUISHINDA NIGERIA..!!??
Wanajeshi wa serikali ya Nigeria. Ku...
NUSU YA WATU HUKO INDIA HAWANA "VYOO" KABISAA..!!
India sasa wanawake hawatakufa wakijihifadhi. ...
KUMBE "SPIKA WA BUNGE" ANAUZA WATOTO ULAYA..!!??
Spika Hama Amadou alitoroka baada ya kuhusishwa na kashfa ya kuwauza watoto ...
EBOLA YATHIBITIKA NDANI YA CONGO (DRC).
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo imesema watu wawili wamekufa kutokana na ugonjwa wa Ebola, uliolipuka kaskazini-magharibi ...
MCHEZAJI AUWAWA UWANJANI HUKO ALGERIA..!!
Mchezaji mpira kutoka Cameroon amefariki baada ya kupigwa kichwani wakati mashabiki wakorofi waliporusha mawe mwishoni mwa mechi ya l...
UKIKAMATWA NA "MADAWA" SAUDIA UMENYONGWA..!!
Utawala wa Saudi Arabia umeagiza kuuawa kwa watu wanne kutoka kwa familia moja kwa kosa la kumiliki dawa za kulevya. ...
WEZI WAWEKA "RECORD" WAIBA BILILIONI KUMI NA TANO CASH..!!!
wezi hao wakiwa kwenye harakati za kupakua pesa. ...
UNAPIGA SIMU, NA KUFIKISHIWA CONDOM NDANI YA DK 15..!!??
Huenda umeshawahi kufaidika na huduma za kuletewa BIDHAA hadi NYUMBANI. Mathalani Chakula, Vi...
WANAUME WALAZIMISHWA KUFANYIWA "TOHARA"
Nchini Kenya wanaum...
KULIKONI MFULULIZO WA NDEGE KUANGUKA..!!??
Ndege moja iliok...
Mhh.. SOKWE AJIPIGA PICHA MWENYEWE..!!
Mtandao wa Wikipidia umekataa kufuta picha ambayo Nyani ilijipiga ikisema kuwa kwa sababu picha hiyo ilipigwa na Nyani ambaye ni mnyam...
ETI AFUNGWA KWA KUUZA POMBE BANDIA..!!
Mwanamume aliyewalaghai watu kwa kuwauzia mvinyo bandia, Rudy Kurniawan, 37, amefungwa jela kwa miaka kumi na kuamrishwa kulipa faini ...
MJAZITO WA MIEZI 6, AOGELEA KWENDA ZAHANATI..!!
Mwanamke mmoja nchini India ameogelea kwenye mto uliokuwa umejaa maji mengi yaliyotokana na mvua kubwa ilhali akiwa na ujauzit...
WAZEE WAFARIKI PAMOJA, KUENZI MAPENZI YAO..!!
Amini Usiamini mapenzi ya kweli bado yapo humu duniani! Kisa kimoja ambacho kimedhibitishia wengi baada ya wape...