Pastor HEZEKIAH.. Mamake Ezekiel na babake wa kambo ni wachungaji wa kanisa la 'Fullness of time' huko Maryland kanisa ambalo wal...
BLOGU MARAFIKI
KUHUSU MIMI
Mchungaji, THOMASI MTEBI atangaza vita na shetani,
Parish ya Mbezi tunapenda wageni, hapa tulikuwa tukimkaribisha mchungaji THOMASI MTEBI...
Tutu kuongoza Wakfu wa David Astor...
Askofu Desmond Tutu , mtetezi mkubwa wa haki za binadamu... Askofu mstaafu wa Afrika Kusini, Desmond Tutu, ambaye pia ni mwanaharakati m...
MUZIKI WA INJILI NA WANAWAKE..
Baraka za MUNGU hushuka kwa wale wanaozitafuta, wenzetu kule Marekani wanamuziki wa Injili wanashirikiana sana, tena kikubwa zaidi wanashi...
Mji kwa wanawake pekee wajengwa Saudia
Nchini Saudi Arabia tayari kuna vyuo vikuu, afisi na hata migahawa inavyowatenganisha watu kutokana na jinsia zao. Kwa sasa tayari mji mm...
WEKEZA FEDHA YAKO KWENYE IMANI YAKO..
Wanamuziki nguli katika kazi ya MUNGU, Kirk Franklin, Marvin Sapp, Donnie McClurkin na Israel Houghton kwa pamoja wamewaomba mashabiki wote...
Bawabu wa Papa kushtakiwa
Vatican imeamuru bawabu wa zamani wa Baba Mtakatifu Benedict ashtakiwe kwa wizi wa nyaraka za siri kutoka ofisi binafsi ya Baba Mtakatifu. ...
Hali ya hatari yatangazwa Kogi Naigeria
Miili ya wtu waliouwawa na wapiganaji wa "BOKO HARAM" huko Nijeria
Mtoto afariki akipungwa mapepo Malaysia
Polisi nchini Malaysia, wanasema kuwa mtoto mwenye umri wa miaka mitatu alifariki nyumbani kwao wakati familia yake ikimfanyia tambiko...
MAPIGANO YASIYOKWISHA AFRICA, SYRIA, CONGO, SOMALIA, IVORY COST..KWA NINI?
Hivi umeshawahi kujiuliza ni kwa nini kila siku kukicha mabalaa yanaongezeka? jibu ni rahisi sana, "WATU HAWANA HOFU YA MUNGU"....
Shambulio la mpakani laipa Israel “kiwewe”...
Rais wa Misri , Mohammed Mursi, ameahidi kuwa vikosi vya usalama vya Misri, vitachukua uthibiti kamili wa rasi ya Sinai baada ya shambulio ...
Esther Wahome avikwa taji Mrs Universe Kenya 2012
Esther Wahome, akipozi kwa picha Esther Wahome Muimbaji wa nyimbo za Injili nchini Kenya Esther Wa...
BARIKIWA KWA KUHUDHURIA "IPENDE TANZANIA FESTIVAL"..
DON MOEN....Muimbaji wa nyimbo za injili... naye atakuwapo jangwani! Don moen akiwa vitani dhidi ya yule muovu shetani! Mtumi...
MUIMBAJI NICOLE ATAKUWAPO KUHUBIRI KUPITIA MUZIKI..
Nicole akiwa kazini, Bwana apewe SIFA! Usikose jangwani tarehe 11 na 12 mwezi huu.. Nicole akipozi kwa picha na mbwa wake!