Monday, August 06, 2012
0


Esther Wahome, akipozi kwa picha
 


Esther Wahome
 
 

Muimbaji wa nyimbo za Injili nchini Kenya Esther Wahome aliyepata umaarufu kutokana na wimbo wa "kuna dawa" Jumamosi iliyopita  alivikwa taji la Mrs. University kwenye hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli - Hilton, Nairobi
Shindano la Mrs Universe linawashirikisha wanawake walioolewa tayari pia si kwa ajili ya urembo tu ila ni kuyaangaza maisha ya wanawake wenye heshima.
Wahome ni mama mwenye watoto watatu anatarajia kuiwakilisha Kenya tarehe 13 August litakalofanyika nchini Urusi mpaka sasa Mrs Universe inawashiriki chini ya nchi 50

Kwa sababu wewe ni mpendwa unaruhusiwa kupaki hapa, alafu ukaribie KANISANI! BARIKIWA..

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA