Monday, August 20, 2012
0
Baraka za MUNGU hushuka kwa wale wanaozitafuta, wenzetu kule Marekani wanamuziki wa Injili wanashirikiana sana, tena kikubwa zaidi wanashirikiana ili kuinua vipaji vipya... Je kwetu hali ikoje? Wanawake ni mama zetu, wanatupenda na kututhamini, lakini wamama wanamuziki wa Injili hapa TANZANIA wanasaidiaje kuinua vipaji vipya? TAFAKARI.... BARIKIWA SANA!



Bahati Bukuku...



Frola Mbasha...



Natalie Makoma... muimbaji kutoka Congo!



Martha Mwaipaja...



Rose Muhando..



Upendo Kilahiro...



Cristina Shusho...

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA