Hakika hakuna aliyemtumaini BWANA na akaaibika, watumishi wa MUNGU, Emmanuel na mkewe Flora Mbasha, wamefanikiwa kufanya huduma huko Scotl...
BLOGU MARAFIKI
KUHUSU MIMI
ZAWADI YA MWAKA MPYA.. BARIKIWA!
Barikiwa rafiki, uliyoshindwa fikia mwaka 2012 BWANA akupe baraka zake ili uweze timiza 2013.. kumbuka KUSALI kila wakati na mshukuru MUN...
KANISA LASHAMBULIWA HUKO MISRI..
Raia wawili wa Misri wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa, kwenye shambulio liliotekelezwa dhidi ya kanisa moja la Coptic mjini Misr...
GLORIA MULIRO kipaji maridhawa kwa BWANA!
Vijana wengi wamepewa sauti nzuri na uwezo mkubwa wa kutunga, lakini ajabu wanatumia vipaji vyao kwa kuimba ya dunia...OLE WAKO! Tazama ...
ZAWADI MARIDHAWA KWAKO, YA X-MASS
HERI YA KRIS-MASS, NINI MAANA YA SIKU HII??
Wakristo kote Duniani, kila ifikapo tarehe 25/Desemba huwa ni muda wa kukumbuka kuzaliwa kwa Bwana wetu MASIAH...YESU KRISTO WA NAZARETI! ...
ASKOFU WA KWANZA MWANAMKE, ANGLIKANI!
Ellinah Wamukoya ameteuliwa kuwa askofu wa kwanza wa kike wa kanisa la Kianglikana barani Afrika. Akiongea muda mfupi baada ya kuteul...
ISRAEL YAZUIA MABOMU KWA MABOMU..
"Iron Dome" ni mmojawapo ya kinga nyingi inayomilikiwa na Israel, na inayotumika dhidi ya makombora. Mfumo huo unatumia ...
WAISRAEL WAUWAWA KWA MAKOMBORA..
Israel imesema kwamba Waisraeli watatu wameuwawa na kombora lililofyatuliwa kutoka Ukanda wa Gaza. Inasema kombora hilo lilianguki...
SHULE NA MAKANISA YACHOMWA NIGERIA..
Jeshi la Nigeria linasema kuwa polisi watatu wameuawa katika mashambulizi yaliyofanyika usiku kucha dhidi ya kituo cha polisi Kaskaz...
ASKOFU MPYA WA CANTERBURY APATIKANA..
Askofu wa Durham, Justin Welby, ambaye pia ni mfanyakazi wa zamani katika sekta ya mafuta, anatarajiwa kutajwa kama askofu mpya wa......
MCHUNGAJI DONGWE ATIMIZA MIAKA 61...
Mchungaji Meshack Bent Dongwe wa Parish ya Mbezi kwa Yusuph (KLPT) ambaye juzi tarehe 05-Novemba-2012, ametimiza miaka 61. Kwa kumshukuru...
WAKOPTI WAPATA ASKOFU MPYA..
Papa mpya ni Askofu Tawadros Kanisa la Copt la Misri limemchagua papa mpya atayewaongoza Wakristo wanaokisiwa kuwa milioni-8 nchini M...
Le’Andria Johnson ndani ya STELLA AWARDS 2013
Le’Andria Johnson baada ya kupata mtoto, kutoa album na pia kuwa na muonekano mpya!! Sasa Le’Andria ameteuliwa kuwania kugombea tuzo tatu...
WAKOPTI KUCHAGUA "PAPA" MPYA..
Hayati Pope Shenouda.. Baraza la maaskofu wa Kikopti nchini Misri, linatarajiwa kumpigia kura mrithi wa papa Shenouda wa tatu aliye...
DYNAMO ANATEMBEA JUU YA MAJI!!
Naomba maoni yako TAFADHALI.... BE BLESSED!
MTETEZI WA WANAOBAKWA ASHAMBULIWA!
Daktari Denis Mukwege akitembelea wagonjwa! Mtetezi maarufu wa wathiriwa wengi wa ubakaji katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo am...
SUDAN KUISHTAKI ISRAEL UMOJA WA MATAIFA!
Rais Omary Al-Bashir wa Sudan ya Kaskazini...... Shambulizi dhidi ya kiwanda cha Sudan liliwaua watu wawili,Sudan imesema kuw...
CHRISTIAN COMMEDY!! NDIO ANGALIA HII..
Imeandikwa "asiyefanya kazi na asile" kama mpendwa una kipaji, basi kitumie.. fanya vile ambavyo unaweza, lakini katika yote ku...
"VIJANA WASIOONA WA ALABAMA NA GOSPEL"
Wanaitwa Blind Boys of Alabama, kundi la muziki wa gospel, ambalo lilianzishwa mwaka 1939 huko Taladega Alabama USA. Ambapo waimbaji wat...
ISRAEL YAUA WAPIGANAJI WA HAMAS..
Wapiganaji wawili wa kundi la Hamas wameuwa na wengine kujeruhiwa huko Gaza na kombora la andani lililorushwa na wanajeshi wa Israel. ...
STELLA AWARDS 2012-13 ZAFIKA MLANGONI!
KIRK FRANKLIN MARY MARY Wow! Hongera kwa Kirk Franklin na Mary Mary kwa sababu wamechaguliwa kuwa waendesha shu...
ELISTONI ANGAI AACHIA SINGLE YA GOSPEL..
Hakika kila goti litapigwa, aliyekuwa mwanamuziki nguli katika muziki wa dansi Tanzania, ELISTONI ANGAI (pichani), ambaye kwa sasa ameokok...
SALAMU ZA MAASKOFU WA KKKT..
Rais Dk.Jakaya M. Kikwete akiwa na Askofu Dk.Alex Malasusa , (picha na library..), salamu za maasakofu wa KKKT, ni hizi hapa chini...... ...
KALI YA JUMA HILI KUTOKA USA,,
MTOTO AHUBIRI INJILI YA KRISTO!
Ni baraka kweli kweli... mtoto mdogo kabisa kama huyu kuhubiri neno la MUNGU!!! Hakika kila goti litapigwa! Barikiwa, hebu muangalie na ums...
UWEZO WA MUNGU UNAONEKANA..
Hebu angalia mtoto huyu mdogo kabisa mwenye umri wa miaka mitano tu, lakini UWEZO wa MUNGU unaonekana kupitia kwake... ALELUYAHHHH... sikil...
BARIKIWA , SIKIZA PIA ANGALIA UJIFUNZE!
Hakika ukiona jambo linakusumbua, basi suluhisho ni moja tu! SEMA NA BWANA YESU!
HAKIKA KWA BWANA KUNA AMANI YA KWELI!
SEMA YESU NI BWANA, KIRI KWA KINYWA CHAKO!
WAPIGANAJI WA KIISLAM WANUNUA WATOTO!
Wapiganaji wa kiisilamu wanaodhibiti sehemu za Kaskazini mwa Mali, wanajipatia pesa kutoka kwa biashara haramu ya mihadarati na kupit...
PAZENI SAUTI ZENU TUKIMSIFU YEYE..
PAPA AHUBIRI KWA KIAARABU!
Papa Benedict wa kumi na sita, ametoa baraka zake kwa lugha ya kiarabu katika hotuba yake ya kila wiki kwa dunia nzima. Hotuba hiyo...
WATOTO NA GOSPEL..ALELUYAH!
Hakika ni Baraka tupu.. ni mtoto kutoka kule Brasil!
UPENDO NKONE ASEMA YA MOYONI!
POLISI 20 WAFA MT. SINAI
Zaidi ya polisi ishirini wa Misri wamefariki kufuatia ajali ya barabarani, katika rasi ya Sinai, baada ya dereva wa gari lao kupoteza...
MASHAMBULIZI ISRAEL KUSINI..
Wanamgambo wa kipalestina katika ukanda wa Gaza wamerusha makombora na mizinga kusini mwa Israeli. Makombora hayo yametua katika en...
TUTU BINGWA WA UHURU.
Mwanaharakati mashuhuri dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini Askofu Desmond Tutu, amekabidhiwa tuzo maalum yenye thamani ya d...
TUTU BINGWA WA KUGOMBEA UHURU
BAWABU WA POPE MAHAKAMANI!
Aliyekuwa bawabu wa Papa Benedict amerejea mahakamani katika kile kinachotarajiwa kuwa siku muhimu kabisa ya kesi yake mjini Vatican kw...
SEND OFF YA GRACE..
Graceeee....
FURAHIA MAISHA MPENDWA..
Safarini kuelekea Pemba..unataka kuona picha zaidi?? gonga read more ...
TOA STRESS! FURAHIA PICHA HIZI..
Genereta na Aircondition.. sasa hii ni nyumba au...
ASKOFU MPYA KUTEULIWA..
Askofu mkuu anayestaafu Rowan Williams Jopo la wanachama wakuu wa kanisa la Kianglikana wanakutana leo kumchagua askofu mkuu mpy...
UNATAKA KUFURAHI LEO.. ANGALIA HAPA!
Jamaa anauwezo wa kuyahamisha macho! mh.. vipaji vingine bana.. Lakini pia huko ulaya, kuna ngazi ambazo zimeambatanishwa na.......
MAASKOFU KUWANYIMA MWILI WA KRISTU..
Sheria kali itakayowashurutisha waumini wa kikatoliki kulipa kodi ya kanisa la sivyo wanyimwe sakramento imepitishwa nchini Ujerumani...
KITCHEN PARTY YA GRACE YAFANA..
Jumapili ya leo tarehe 23 septemba ni siku ya pekee na ya kukumbukwa kwa binti Grace Munis Habib, ambaye ni binti aliyeokoka, ana...
MKESHA MKUBWA LEO KLPT MBEZI..
Mkesha mkubwa utafanyika leo, Ijumaa kuanzia saa tatu usiku pale kwenye Parish ya Mbezi Luis (KLPT). Mkesha huo utajumuisha..........
WAKRISTO WAKOPTI KUKAMATWA HUKO USA..
Maafisa wa utawala mjini Cairo, wameamuru kukamatwa kwa wakiristu saba wa kikopti raia wa Misri wanaoishi nchini Marekani kwa kuhusika ...
YESU ANAOKOA! MPE MAISHA YAKO..
WIMBO BORA 2012 AFRIKA WAUJUA??
Anaitwa Emmy Kosgei kutoka kule Kenya, yeye ndiye mshindi kwenye kipengele cha wimbo bora wa mwaka kwenye tuzo za "Africa Gospel Music...
LE'ANDRIA AJIFUNGUA NA KUZINDUA ALBUM..
Le’Andria Jonhson muimbaji wa muziki wa injili huko kwa OBAMA, ameachia album ambayo ipo sokoni hivi sasa, lakini pia ameandaa “party” t...
MUZIKI WA INJILI NI ZAIDI YA MUZIKI..
ALELUYAH...
SARA MVUNGI AJA NA ALBUM MPYA..
Uzinduzi wa album ya mwimbaji Sarah Mvungi, inayoitwa “NIACHENI NIMFUATE YESU” utafanyika mwezi wa kumi na moja tarehe kumi na moja. Na ...
UPENDO NKONE STEJINI HUKO USA..
Upendo Nkone akiimba wimbo uitwao "Mwambie Yesu" katika tamasha la ANBC huko Columbus Ohio, USA. Tumeambiwe twende kote tukawafa...
FARAJA NTABOBA! "ALBUM IKO SOKONI"
Albamu mpya ya Muimbaji Faraja Ntaboba sasa iko katika mfumo wa Video.........itafute katika maduka yote nchini upate kuwa wa kwanza kui...
MARVIN SAPP.. AACHIA VIDEO MPYA!
MARVIN SAPP, muimbaji nguli wa muziki wa injili huko USA, ameachia video yake kutoka katika “albamu” lake linalokwenda kwa jina la “I WIN...
TUNAKWENDA WAPI??..
Sheikh Hassan Nasrallah Mtu mmoja Kaskazini Magharibi mwa Pakistan ameuwawa kwa kupigwa risasi katika tukio la hivi punde kwenye maan...
JIKUMBUSHE KAZI ZA NYUMBANI
Ujerumani kumzuia mhubiri wa kikristo kuingia nchini humo..
Chansela wa Ujerumani, Angela Merkel, amesema kuwa serikali yake itampiga marufuku mhubiri mmoja tatanishi kuingia nchini humo....
UPENDO NKONE...! Je wamfahamu??
Upendo Nkone ni mwimbaji wa muziki wa Injili Tanzania. Anaimba nyimbo za Mungu na anasauti kubwa sana na kwaya yake wanaweza vizuri ku...
MKESHA MKUBWA WAJA... MBEZI LUIS KLPT PARISH!
Ijumaa ya tarehe 21 mwezi huu wa tisa, kutakuwa na mkesha mkubwa na mzuri wa maombi. Katika parish ya KLPT Mbezi Luis, ambapo parish zote ...
GOSPEL MOVIE, BARIKIWA NAZO!
Kuna filamu nyingi ambazo wapendwa tunaangalia, lakini geukia upande huu pia kuna filamu nzuri zenye mafundisho, tafuta hizi! kama kuna nyin...