MKESHA MKUBWA WAJA... MBEZI LUIS KLPT PARISH! Sunday, September 16, 2012 Unknown 0 Ijumaa ya tarehe 21 mwezi huu wa tisa, kutakuwa na mkesha mkubwa na mzuri wa maombi. Katika parish ya KLPT Mbezi Luis, ambapo parish zote za jimbo la kinondoni zitahudhuria, barikiwa sana mpendwa njoo uone matendo makuu ya Bwana YESU!
0 comments:
Post a Comment