Tuesday, September 18, 2012
0

Sheikh Hassan Nasrallah

Mtu mmoja Kaskazini Magharibi mwa Pakistan ameuwawa kwa kupigwa risasi katika tukio la hivi punde kwenye maandamano yanayoendelea kuhusiana na filamu iliyoundwa Marekani na ambayo............


 inadhalilisha dini ya kiislamu.
Mamia ya waandamanaji katika eneo la DIR waliteketeza majumba kadhaa yakiwemo hata ya serikali na kufyatuliana risasi na polisi.
Na katika mji mkuu wa Afghanistan Kaabul, umati wa karibu waandamanaji alfu moja umezua rabsha na kuteketeza magari mbali na kuwafyatulia risasi polisi.
Takriban polisi arobaini wamejeruhiwa kwa mawe.
Nchini Lebanoon, Kiongozi wa Hezbollah, Sheikh Hassan Nasrallah, alitoa wito kufanyika kwa maandamano ya wiki nzima, sio tu katika balozi za Marekani bali pia kuzishinikiza serikali za kiislamu kuelezea ghadabu dhidi ya Marekani.

Sheikh Hassan Nasrallah

Sheikh Hassan Nasrallah

Sheikh Hassan Nasrallah

Wafuasi wa Sheikh Hassan Nasrallah, wakiwa mtaani..

Picha ya Sheikh Hassan Nasrallah, ikichomwa na wale wanaompinga... Hebu tujiulize hatuwezi kuifanya Dunia yetu kuwa sehemu salama ya kuishi?  TUANDIKIE MAONI YAKO..

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA