Wednesday, September 19, 2012
0


Le’Andria Jonhson muimbaji wa muziki wa injili huko kwa OBAMA, ameachia album ambayo ipo sokoni hivi sasa, lakini pia ameandaa “party” tatu katika STATE tatu tofauti ili.........

 kuitangaza album hiyo.Le’Andria ambaye ambaye amejifungua mtoto wake wanne tarehe 12 ya mwezi huu wa tisa, hatohudhuria party yeyote kati ya hizo, ili apate muda mzuri wa kukaa na mwanawe. Katika “party” hizo zitaoneshwa DVD ya kazi yake mpya, pamoja na DVD yake maalum akiongea na mashabiki wake watakaohudhuria “party” hizo.
Ratiba ya party hizo iliyotolewa na Le’Andria mwenyewe, shughuli itafanyika  NEW YORK CITY | FRIDAY: SEPTEMBER 21st | RUSTIK TAVERN | 471 Dekalb Ave. Brooklyn, NY | 9pm-1am, na wakati huohuo itaendelea kufanyika  ATLANTA |FRIDAY: SEPTEMBER 21st |THE C-ROOM | 4013 A Jonesboro Rd. Forest Park, GA | 8pm-1am, na baada ya hapo shughuli itaelekea, HOUSTON | SATURDAY SEPTEMBER 22nd | GET DOLLED UP BRUNCH | MY TRENDY PLACE  | 10350 South Post Oak Rd Ste. C1 Houston, TX | 11am-1pm! BARIKIWA.. kama una maoni nitumie elikuda@live.com au hapo kwenye comment box
Amber Bullock, Kirk Franklin na Le'Andria


Kirk Franklin na Le'Andria wakati akishiriki katika shindano la "SUNDAY BEST"

Le'Andria kabla hajajifungua, akipozi kwa picha na shabiki wake.

Le'Andria, 2011 aliposhinda tuzo ya grammy

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA