Thursday, September 27, 2012
0
Askofu mkuu anayestaafu Rowan Williams  


Jopo la wanachama wakuu wa kanisa la Kianglikana wanakutana leo kumchagua askofu mkuu mpya wa Canterbury kuongoza kanisa hilo.
Wadadisi wanasema kuwa kawaida huwa kuna idadi kubwa ya wagombea wanaoweza..
 
kuchukua nafasi ya Askofu mkuu anayestaafu Rowan Williams hali inayoifanya vigumu kujua nani atakayechukua wadhifa wenyewe.
Askofu mpya atachukua uongozi wakati kanisa hilo linakumbwa na migawanyiko kuhusu maswala kadhaa mfano, ikiwa askofu anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja anaweza kutawazwa kama askofu pamoja na kudidimia kwa idadi ya wafuasi wa kanisa hilo kila kukicha.
Jopo hilo litakutana kwa siku tatu kabla ya kuwasilisha jina la askofu mpya.
Askofu Rowan Williams

Askofu Rowan Williams

Kanisa la Canterbury..

Kanisa la Canterbury..

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA