Le’Andria Johnson baada ya kupata mtoto, kutoa album na pia kuwa na muonekano mpya!! Sasa Le’Andria ameteuliwa kuwania kugombea tuzo tatu...
BLOGU MARAFIKI
KUHUSU MIMI
WAKOPTI KUCHAGUA "PAPA" MPYA..
Hayati Pope Shenouda.. Baraza la maaskofu wa Kikopti nchini Misri, linatarajiwa kumpigia kura mrithi wa papa Shenouda wa tatu aliye...
DYNAMO ANATEMBEA JUU YA MAJI!!
Naomba maoni yako TAFADHALI.... BE BLESSED!
MTETEZI WA WANAOBAKWA ASHAMBULIWA!
Daktari Denis Mukwege akitembelea wagonjwa! Mtetezi maarufu wa wathiriwa wengi wa ubakaji katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo am...
SUDAN KUISHTAKI ISRAEL UMOJA WA MATAIFA!
Rais Omary Al-Bashir wa Sudan ya Kaskazini...... Shambulizi dhidi ya kiwanda cha Sudan liliwaua watu wawili,Sudan imesema kuw...
CHRISTIAN COMMEDY!! NDIO ANGALIA HII..
Imeandikwa "asiyefanya kazi na asile" kama mpendwa una kipaji, basi kitumie.. fanya vile ambavyo unaweza, lakini katika yote ku...
"VIJANA WASIOONA WA ALABAMA NA GOSPEL"
Wanaitwa Blind Boys of Alabama, kundi la muziki wa gospel, ambalo lilianzishwa mwaka 1939 huko Taladega Alabama USA. Ambapo waimbaji wat...
ISRAEL YAUA WAPIGANAJI WA HAMAS..
Wapiganaji wawili wa kundi la Hamas wameuwa na wengine kujeruhiwa huko Gaza na kombora la andani lililorushwa na wanajeshi wa Israel. ...
STELLA AWARDS 2012-13 ZAFIKA MLANGONI!
KIRK FRANKLIN MARY MARY Wow! Hongera kwa Kirk Franklin na Mary Mary kwa sababu wamechaguliwa kuwa waendesha shu...
ELISTONI ANGAI AACHIA SINGLE YA GOSPEL..
Hakika kila goti litapigwa, aliyekuwa mwanamuziki nguli katika muziki wa dansi Tanzania, ELISTONI ANGAI (pichani), ambaye kwa sasa ameokok...
SALAMU ZA MAASKOFU WA KKKT..
Rais Dk.Jakaya M. Kikwete akiwa na Askofu Dk.Alex Malasusa , (picha na library..), salamu za maasakofu wa KKKT, ni hizi hapa chini...... ...
KALI YA JUMA HILI KUTOKA USA,,
MTOTO AHUBIRI INJILI YA KRISTO!
Ni baraka kweli kweli... mtoto mdogo kabisa kama huyu kuhubiri neno la MUNGU!!! Hakika kila goti litapigwa! Barikiwa, hebu muangalie na ums...
UWEZO WA MUNGU UNAONEKANA..
Hebu angalia mtoto huyu mdogo kabisa mwenye umri wa miaka mitano tu, lakini UWEZO wa MUNGU unaonekana kupitia kwake... ALELUYAHHHH... sikil...
BARIKIWA , SIKIZA PIA ANGALIA UJIFUNZE!
Hakika ukiona jambo linakusumbua, basi suluhisho ni moja tu! SEMA NA BWANA YESU!
HAKIKA KWA BWANA KUNA AMANI YA KWELI!
SEMA YESU NI BWANA, KIRI KWA KINYWA CHAKO!
WAPIGANAJI WA KIISLAM WANUNUA WATOTO!
Wapiganaji wa kiisilamu wanaodhibiti sehemu za Kaskazini mwa Mali, wanajipatia pesa kutoka kwa biashara haramu ya mihadarati na kupit...
PAZENI SAUTI ZENU TUKIMSIFU YEYE..
PAPA AHUBIRI KWA KIAARABU!
Papa Benedict wa kumi na sita, ametoa baraka zake kwa lugha ya kiarabu katika hotuba yake ya kila wiki kwa dunia nzima. Hotuba hiyo...
WATOTO NA GOSPEL..ALELUYAH!
Hakika ni Baraka tupu.. ni mtoto kutoka kule Brasil!
UPENDO NKONE ASEMA YA MOYONI!
POLISI 20 WAFA MT. SINAI
Zaidi ya polisi ishirini wa Misri wamefariki kufuatia ajali ya barabarani, katika rasi ya Sinai, baada ya dereva wa gari lao kupoteza...
MASHAMBULIZI ISRAEL KUSINI..
Wanamgambo wa kipalestina katika ukanda wa Gaza wamerusha makombora na mizinga kusini mwa Israeli. Makombora hayo yametua katika en...
TUTU BINGWA WA UHURU.
Mwanaharakati mashuhuri dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini Askofu Desmond Tutu, amekabidhiwa tuzo maalum yenye thamani ya d...
TUTU BINGWA WA KUGOMBEA UHURU
BAWABU WA POPE MAHAKAMANI!
Aliyekuwa bawabu wa Papa Benedict amerejea mahakamani katika kile kinachotarajiwa kuwa siku muhimu kabisa ya kesi yake mjini Vatican kw...
SEND OFF YA GRACE..
Graceeee....
FURAHIA MAISHA MPENDWA..
Safarini kuelekea Pemba..unataka kuona picha zaidi?? gonga read more ...