Hakika kila goti litapigwa, aliyekuwa mwanamuziki nguli katika muziki wa dansi Tanzania, ELISTONI ANGAI (pichani), ambaye kwa sasa ameokoka na anampenda YESU! ameeachia single ambayo ameshirikiana na kundi litakalowekwa hadharani hivi karibuni, Barikiwa sikiza kazi ilivyo maridhawa... |
|
0 comments:
Post a Comment