Saturday, October 27, 2012
0
Daktari Denis Mukwege akitembelea wagonjwa!

Mtetezi maarufu wa wathiriwa wengi wa ubakaji katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo amenusurika jaribio la kumuua.
Daktari Denis Mukwege alishambuliwa na watu waliokuwa na...

 bunduki nyumbani kwake Bukavu aliko na hospitali inayowahudumia waathiriwa wa dhulma za kimapenzi.
Alihepa risasi lakini mlinzi wake aliuawa katika tukio hilo.
Daktari Mukwege ni mpasuaji mashuhuri duniani na ameshinda tuzo nyingi tu kimataifa kwa juhudi zake kutetea wanawake wanaobakwa na makundi ya waasi.



0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA