Thursday, October 25, 2012
0
Wanaitwa Blind Boys of Alabama, kundi la muziki wa gospel, ambalo lilianzishwa mwaka 1939 huko Taladega Alabama USA. Ambapo waimbaji watatu, mpiga ngoma na mpuliza tarumbeta wote ni watu........
 
 wasioona. Kundi hili mwaka 1960 waliungana na mtetezi maarufu wa haki za watu weusi huko Marekani kwa Hayati Martin Luther King, kwa kuhamasisha kudai haki za watu weusi kwa kutumia muziki wa gospel, lakini iliwachukua hadi mwaka 1990 kuweza kuwa nominated kwenye tuzo mbili za grammy lakini pia kuweza kutumbuiza kwenye ikulu ya Marekani (WHITE HOUSE) Hao ndio “The Blind Boys of Alabama”… Barikiwa!!! 

The Blind Boys of Alabama”

The Blind Boys of Alabama”

The Blind Boys of Alabama”

The Blind Boys of Alabama”

The Blind Boys of Alabama”

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA