Tuesday, October 23, 2012
0
KIRK FRANKLIN

MARY MARY    

Wow! Hongera kwa Kirk Franklin na Mary Mary kwa sababu wamechaguliwa kuwa waendesha shughuli, kwenye usiku wa utoaji wa tuzo za STELLA 2012 (STELLA AWARDS 2012). Hizi ni habari njema, na kila mtu anajua kuwa wapendwa hawa watafanya kazi nzuri sana, kwani kwa upande wa KIRK FRANKLIN yeye anafanya vizuri kwenye.......
 
 uendeshaji wa show ya SUNDAY BEST (BET TV) , wakati wamama wa Mary Mary nao wanafanya vyema kipindi chao cha “REALITY SHOW MARY MARY”
Upigaji kura kwa washiriki wa tuzo hizo umekoma toka tarehe 15 ya mwezi huu wa kumi, endelea kufuatilia gospelemmanuel.blogspot.com kwa habari zaidi kuhusu STELLA AWARDS 2012.


 






0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA