Wednesday, October 24, 2012
0

Wapiganaji wawili wa kundi la Hamas wameuwa na wengine kujeruhiwa huko Gaza na kombora la andani lililorushwa na wanajeshi wa Israel.
Wanajeshi hao wanasema kuwa kombora hilo liliwapata.....
 
 wapiganaji hao wakipanga kuishambulia Israel kwa roketi.
Roketi kadha zilielekezwa Israel mapema Jumanne na afisa mmoja wa Israel alijeruhiwa kutokana na mlipuko mpakani.
Shambulio hilo lilitokea saa chache tu baada ya kiongozi wa Qatar kufanya ziara ya kwanza ya kiongozi wa nchi tangu Hamas ichukue uongozi miaka mitano iliyopita

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA