Monday, October 08, 2012
0


Zaidi ya polisi ishirini wa Misri wamefariki kufuatia ajali ya barabarani, katika rasi ya Sinai, baada ya dereva wa gari lao kupoteza mwelekeo na...
 
 kugonga lori.
Polisi wengine ishirini walijeruhiwa.
Polisi hao walikuwa sehemu ya kikosi cha polisi kutoka wizara ya usalama wa ndani ambao kwa ushirikiano na jeshi wamekuwa wakipambana na wanamgambo wa kiisilamu waliofanya msururu wa mashambulizi katika rasi ya Sinai.



0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA