Tuesday, October 30, 2012
0
Le’Andria Johnson baada ya kupata mtoto, kutoa album na pia kuwa na muonekano mpya!! Sasa Le’Andria ameteuliwa kuwania kugombea tuzo tatu kwenye................

 
 vipengele tofauti. Vipengele hivyo ni tuzo ya “new artist of the year” alafu “Albertina Walker Vocalist of the year” na “Contermporary Female Vocalist of the Year” kupitia STELLA AWARDS huko USA.. Be blessed!

Le’Andria Johnson

Le’Andria Johnson

Le’Andria Johnson

Le’Andria Johnson

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA