| Parish ya Mbezi tunapenda wageni, hapa tulikuwa tukimkaribisha mchungaji THOMASI MTEBI... |
| Wageni wetu, kutoka kushoto ni Mwinjilisti Francis Nyerere, Mchungaji Thomasi Mtebi na Bw. Victor Mtebi... |
| Mzee wa kanisa mama MWITETE, akisalimu kanisa! siku hizi anafanya kazi Manyara.. |
| MBARIKIWEEE.... |
| ASANTENI NA MUNGU AWABARIKI... |
| WASHINDI KWAYA... |
| WASHINDI KWAYA... |
| ALELUYAH... |
| UWEPO WA MUNGU UPO MAHALA HAPA.. |
| Mwinjilisti Joseph akiongoza kusifu.... |
| YESU ni BWANAAAA.... |
| Mtumishi Cuthbert akiwa kazini..... |
| ooohhh aleluyah |
| Binti wa YESU, Bi Henjewele akisifu... |
| Kutoka kushoto ni Mch. Dongwe, Mwinjilisti Francis, Mch. Mtebi na Bw. Victor..WAKISIFU! |
| AMINA.. |
| hapa wakisifu... |
| hapa wakisifu... |
| hapa wakisifu... |
| hapa wakisifu... |
| hapa wakisifu... |
| hapa wakisifu... |
| Hapa ni wakati wa kuabudu, mtumishi MOSES akiwa kazini... |
| Hapa ni wakati wa kuabudu..... |
| Hapa ni wakati wa kuabudu.... |
| Sasa namkaribisha mumishi wa bwana mchungaji THOMASI MTEBI |
| uwepo wa MUNGU kwa watu wa MUNGU! |
| KARIBU mtumishi...... |
| Mchungaji THOMASI MTEBI akihubiri.. |
0 comments:
Post a Comment