Monday, August 13, 2012
0
Vatican imeamuru bawabu wa zamani wa Baba Mtakatifu Benedict ashtakiwe kwa wizi wa nyaraka za siri kutoka ofisi binafsi ya Baba Mtakatifu.

Paolo Gabriele na mfanyakazi mwingine wa Vatican Claudio Sciarpelletti wanashutumiwa kuiba hundi yenye thamani ya dola za kimarekani laki moja.

Bawabu huyo alikamatwa mwezi Mei mwaka huu kufuatia uchunguzi wa taarifa za shutuma za rushwa katika mako makuu Vatican ya kanisa katoliki duniani.

Amekiri kufanya wizi wa nyaraka hizo akisema kuwa alidhani alikuwa akilisaidia kanisa kwa kufichua maovu hayo.
PAPA BENEDICT  WA KUMI NA SITA......


Papa Benedict akiwa na Malkia wa JORDAN, anaitwa RANIA...


VATICAN, picha kutoka juu....


VATICAN, nchi ndogo kabisa huko ulaya...


Kwenye hilo jumba ndimo anamoishi, PAPA BENEDICT!

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA