Tuesday, August 07, 2012
0

Hivi umeshawahi kujiuliza ni kwa nini kila siku kukicha mabalaa yanaongezeka? jibu ni rahisi sana, "WATU HAWANA HOFU YA MUNGU". TAFAKARI kwa kina utakubaliana nami, viongozi ni wabinafsi, wapendwa tumekata tamaa na kumruhusu shetani afanye anavyotaka, hivi tukijisifu na kutamba kuwa tuna amani, wakati waafrika wenzetu wakiwa na madhila na magumu makubwa wanayoyapitia unafikiri hiyo ni sawa..?  Hapana turudini magotini, tuutafute "USO WA MUNGU".... BIBLIA  inasema kuna mambo mengine hayawezekani "ILA KWA KUFUNGA NA KUOMBA" Karibu jangwani tarehe 11 na 12 tuweze kuomba kwa pamoja.. BARIKIWA.
Tazama kwa umakini mkubwa picha hizi, hizi ni picha kutoka uwanja wa vita kule SYRIA... Tafadhali tukutane JANGWANI!



ooh..LORD HELP US OUT!

"stop the war" Sema hapana kwa VITA!

Unafikiri anawaza nini? AMANI

Upumzike kwa amani, hii ni maiti ya mtoto, ikiagwa kwenda mazikoni!

Maiti za watoto lakini pia za watu wazima!

Ni hali ya kutaharuki

Familia yote ni majeruhi...

Jicho, pua na hata paji la uso! inasikitisha sana...

"Kama usiposaidia tutauwawa" hebu tafakari ujumbe huu ...

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA