Wednesday, July 11, 2012
0
 
Tamasha la Ipende Tanzania litaandaa usiku wa siku mbili maonyesho maalumu kutoka kwa baadhi ya wasanii maarufu wa kikristo.
Tamasha lililopita liliwahusisha Nicole C. Mullen, Building 429, na Papa San.
Wasanii wenyeji
Wenye vipaji, wasanii wenyeji wataifa watasaidia kufanya kila tamasha kuwa la kipekee.  Wasanii wa Kitanzania watatajwa baadae.......BARIKIWA......


0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA