Tuesday, July 10, 2012
0
John Lissu
“Nimeamka natetemeka na baridi vidole hata kupiga guitar vinashindwa na wenyeji wangu wanasema sasa ni wakati wa joto kali,ikiwa baridi sijui itakuwaje.”  hayo ni maneno ya huyu "MNYAMPAHA" ambaye yupo Norway kwa sasa.. BARIKIWA John Lissu na YEHOVA akutangulie kwa kila jambo..


John Lissu akikatiza mitaa ya Norway...
 
Rose Muhando, Muimbaji wa muziki wa injili aliyefungua mlango wa kufanya biashara ya muziki KIMATAIFA baada ya kupata mkataba na SONY MUSIC...


Bahati Bukuku akimpongeza Rose Muhando

Rose Muhando akiwa na Master Jay..

Ambwene Yessaya (AY), Ally Kiba, Rose Muhando, Nassib Abdul (Diamond) na Hamis Mwinjuma ( mwanafalsafa) Kwenye mkutano na waandishi wa habari, uliondaliwa na SONY MUSIC..

Solomon Mukubwa
“marafiki zangu nawaombea sana, pia nawapenda sana usijali ukimya wangu jua wewe ni wa muhimu sana kwangu..”  haya ni maneno ambayo Solomoni Mukubwa ameyaandika kwenye ukurasa wake wa facebook..

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA