| Waokozi wakiwa kazini... |
| Muokozi akiwa anuvuta mwili uliondani ya maji.. |
| Meli ya uokozi ikiwa eneo la tukio.. |
| Hawa ni ndugu zetu waliofanikiwa kupanda juu ya mgongo wa meli ili kujiokoa.. |
![]() |
| Baadhi ya wananchi wakiwa viwanja vya Maisara kwenda kuangalia au kutambua miili ya wapendwa wao.. |
![]() |
| "jamani tusaidieni" ndivyo wanavyoonekana wakisema wapendwa hawa.. |



0 comments:
Post a Comment