Monday, July 02, 2012
0
Mch.Bent Dongwe, ambaye pia ni baba mkwe akinikabidhi binti yake tayari kwa  ibada ya ndoa (KLPT-Parish ya Mbezi Luis)

Mzee wa kanisa (Emmanuel) akiongoza kikundi cha sifa kumtukuza BWANA wakati tukiingia kanisani

Best man.. wajina wangu Emmanuel akiwa kazini wakati nikijibu maswali kutoka kwa Mchungaji Job Sembucha



Wow.. kama malaika..

Lazima utoe ahadi huku ukimtazama usoni....eeeh! ili umaanishe

Sawa mama nakusikiliza..

Na kwa pete hii, naomba iwe alama na ukumbusho kwako juu ya ahadi niliyoitamka leo mbele ya madhabahu takatifu..AMEN!

OOOoo Lord help me out

Shusha mkono basii.. mwenzio sifikii!


Ewaa.. hapo sawa! imekaa mahala pake..

NAKUPENDA WANGU..

Asanteni watumishi wa Bwana kwa kutukabidhi mbele zake..

Mch.Job Sembucha yeye ndie aliyetufungisha ndoa yetu..

"alichokiunganisha YEHOVA binadamu kamwe asikitenganishe" maneno ya Mchungaji sio yangu jamani..

Ilikuwa kama ndoto.. mwenye gauni jekundu hapo mbele kushoto ni mdogo wangu wa mwisho anaitwa, Theresia Likuda

Mh......ndio!


Wow...

Aaah.. ulipendezaje wangu..

Babako sasa... yaani sterling ndio anaingia..Bwana Yesu apewe sifa..

Mh...aya!

Ngoja nikufute dadako yuko busy..

Eeeh mama! siondoki..

Mr &Mrs Emmanuel Likuda

Lets dance peoples.. wache wafurahi...

Kwaito sasa,,,, mie simo!

Hawa nao eti wamechoka..!

Mama Lisa, Beatrice na Lilian Nsimbo.. rafiki za mke wangu....



Siku ya kitchen party, Aika (mama Lisa) akipumzika baada ya kupanga zawadi ukumbini..

Happy (mama Emma au chris..) mdogoake mke wangu..

Mambo ya kitchen party..

Set-up ya kitchen party..

Keki ya kitchen party.. ndio ni kitanda!

On the stage....

Hata mie nilikuwepo kwenye, kitchen party..

Thats my family.. mzee Likuda mwenye tai ya njano na kushoto kwake ndio mother..!

Tulikaribishwa, alafu na sie tukakatalia palepale.. kutoka left.. Aika, Bahati (balotel), mie na Edwin Robert

Hii ni send off.. pole sikukutaarifu hapo kabla...

Mke wangu ana drama.. HATARIIII.. Hapa ni kwenye send off wakati anaingia ukumbini sasa..

Body guards.... kushoto ni Cuthbert Dongwe na kulia ni Kasheba Dongwe! Her brothers...

Thats family.. "walinzi" wa mbele ni cathbert na kasheba, wakati nyuma ni Sunday na Lembo.. Dada akiwa na kaka zake etii..mh..

sawa.... angalieni step hizo..


Anapokelewa...

With her wasimamizi...

Keki..



Mie nililetewa samaki kitu cha "migebuka" eeehh.. mama si anatokea Kigoma

Eeeh.. si nikabebwa..

Hata sielewi napelekwa wapi..aa  Basi sawa!

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA