| "Washindi kwaya" wakisifu, hakika tuna kila sababu ya kurudisha sifa na utukufu kwa BWANA....... |
| Kutoka kushoto ni Mama Emmanuel (mzee wa kanisa), Marry Dongwe (mama mchungaji) na Mchungaji Meshack Bent Dongwe.. |
| Mzee wa kanisa (Emmanuel) akiendesha vita dhidi ya yule muovu shetani..... |
| Vijana wa parish ya Mbezi Luis (KLPT) wakiongozwa na katibu wa WWK, Beatrice Emmanuel... kusifu na kucheza... |
0 comments:
Post a Comment