Michezo ya Baiskeli itakuwapo! USIKOSE.. Zaidi ya futi sita juu, uuh.. uje ujionee mwenyewe! Unafikiri atakosea awakanyage? Mhh....
BLOGU MARAFIKI
KUHUSU MIMI
Itakuwapo michezo mbalimbali siku hizo, ni tarehe 11 na 12 Agosti, pale viwanja vya Jangwani! USIKOSE..
TAMASHA LA IPENDE TANZANIA LAKARIBIA NI AGOSTI 11 NA 12..
Nyoosha mikono na usifu kama uko hai...BWANA ASIFIWE! Utakuwa ni wakati mzuri sana wa kuwa jirani na YEHOVA! ALELUYAH... Ua...
KASHEBA DONGWE ACHUMBIA RASMI..
Kijana! huyu binti hana kovu lolote.. ndivyo anavyoonekana kusema kaka wa Grace wakati wa utoaji wa barua ya kuomba uchumba.... Mh....
SUNDAY DONGWE AUAGA UKAPERA..
Hapa ilikuwa kwenye kitchen party.. Sunday na mkewe... Unataka kulia nini sasa, si umesema unataka jiko BROTHER..? Aaaagh.. ...
TAMASHA LA IPENDE TANZANIA TAR.11 NA 12 AGOSTI..
Tamasha la ipende Tanzania, litafanyika tar. 11 na 12 mwezi wa nane (agosti), katika viwanja vya Jangwani jijini Dar-Es-salaam! Nakukaribi...
Picha za ajali ya MV Stargate Zanzibar....
Waokozi wakiwa kazini... Muokozi akiwa anuvuta mwili uliondani ya maji.. Meli ya uokozi ikiwa eneo la tukio.. Hawa ni ndugu...
Abiria kadha wafariki katika ajali ya MV Stargate Zanzibar.. Watu zaidi ya 100 wanasadikiwa wamepoteza maisha katika ajali ya meli iliy...
Shughuli ya kutafuta maiti Zanzibar yaendelea..
Meli ya Star Gate ikizama Shughuli ya kutafuta maiti kwenye ajali ya meli iliyozama nchini Zanzibar ilianza leo mapema huku w...
IMUKA SINGERS KWENDA ZIARANI MAREKANI, SEPTEMBA MWAKA HUU!
GOSPEL HOUSE OF TALENT KWA KUSHIRIKIANA NA COSAD TANZANIA, WAMEANDAA TAMASHA KUBWA KWA AJILI YA KUWAAGA IMUKA SINGERS WALIOALIKWA KWENDA M...
PICHA ZA MAJERUHI WA AJALI YA MELI YA STAR GATE ILIYOTOKEA ZANZIBAR..
Takriban watu 30 wamefariki dunia baada ya meli iliyokuwa imewabeba abiria zaidi ya mia mbili na hamsini kuzama karibu karibu na kisiwa ...