![]() |
| Michezo ya Baiskeli itakuwapo! USIKOSE.. |
![]() |
| Zaidi ya futi sita juu, uuh.. uje ujionee mwenyewe! |
![]() |
| Unafikiri atakosea awakanyage? Mhh.. usisubiri kuhadithiwa! |
![]() |
| Oooh.. My GOD! Juuuu... |
![]() |
| Mie sitasubiri kuhadithiwa mambo haya, nitakwenda! lakini pia nitaweka matukio yote mahali hapa! |
![]() |
| Juu kwa juu... Shaaaa... |
![]() |
| Kumbuka ni bureee, pale viwanja vya Jangwani mwezi wa nane tarehe 11 na 12! |
![]() |
| Jamaa anageuka nayo hewani hiyo basikeli! |
![]() |
| Maombezi yatakuwapo.. |
![]() |
| Hivi ni vipeperushi vya tamasha, umeshawahi kuviona? |
![]() |
Tafadhali usikose! Njoo ukutane na YESU! |












0 comments:
Post a Comment