Thursday, July 19, 2012
0
GOSPEL HOUSE OF TALENT KWA KUSHIRIKIANA NA COSAD TANZANIA, WAMEANDAA TAMASHA KUBWA KWA AJILI YA KUWAAGA IMUKA SINGERS WALIOALIKWA KWENDA MAREKANI SEPTEMBA MWAKA HUU.........................................................................................................
Tamasha litafanyika DIAMOND JUBILEE VIP HALL, jumapili tar. 22/07/2012 kuanzia saa saba mchana, Kiingilio ni tsh.10,000/= kwa watu wazima na tsh. 3,000/= kwa watoto...IMUKA SINGERS watasindikizwa na CRISTINA SHUSHO, UPENDO NKONE, THE VOICE, JANE MISSO, UINJILISTI KIJITONYAMA, MADAME RUTH NA CHRIS, MARTHA MWAIPAJA, DP, BROTHER JOSHUA MLELA NA BAHATI BUKUKU.....Kwa maulizo piga simu 0767 93 37 37 au 0712 70 39 86.

IMUKA SINGERS wakiwa kwenye stage, wakati wa ziara yao marekani mwaka 2011

Ni muziki wa asili wenye vionjo lukuki.. hawa ndio IMUKA SINGERS!


Steps sasa.. mh..  khatari!

Bustanini hivi, hewa safi, huku IMUKA SINGERS wakitoa burudani huko Marekani 2011..

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA