Monday, September 24, 2012
0


Jumapili  ya leo  tarehe 23 septemba  ni siku ya pekee na ya kukumbukwa kwa binti Grace Munis Habib, ambaye ni binti aliyeokoka, anampenda YESU! Lakini pia.........

 ni muweka hazina msaidizi wa “ HUVIKA” PARISH ya MBEZI KWA YUSUPH..kwani  wapendwa wengi, majirani, marafiki na hata wazazi walifika ili kuweza kumtunza lakini pia “kumfunda”  hakika ukijitunza Bwana naye atakuinua… Hongera Grace WOW!..

Lulu mdogo wake na Grace...
Mama mzazi wa Grace, akifurahi kwa tabasamu la Kichaga!
Graceee....

Pozi muhimu! na urembo unachangia... SAMAHANI LAKINI!


Grace akiserebuka na MC mwenye "degree" mbili.. Big Boss Bernadetha Emmanuel..

Unisikilize tena kwa makini.. NDOA si lelemama!
Grace na dada zake!

Mawifi zake Grace sasa, kushoto ni mama Yona, mama Emma au Happy na Super tall...
Lily nsimbo a.k.a mama Jumatatu, Mama watoto! alafu na huyu sijui nani.. ngoja ntakuambia baadae.. Mh..!

Kitu cha keki sasa, kama jiko na sufuria lake vileee...
Eti yupo na mamaye..

Keki akilishwa mama mkwe, Mama Mchungaji Marry Dongwe!

Madada nao walilishwa..

A hug please! thats whats up.. mh..!

Kula keki  dada usahau shida zako!

Asante mama mkubwa!

Mama Mchungaji Marry Dongwe akiwa na shangazi, akifuatilia kwa makiniii..
Mama Emma (Happy)

Mh.....


Basi   SAWA...

Tucheze tufurahi.. ALELUYAH!

Ooohh.. BWANA YESU APEWE SIFA!

High table..

Kitchen party.. sasa je! vitu vya jikoni hivyo!

Yes matunda..

Ndio zawadi lazima zikae kwenye mpangilio mzuuuri! hapa ilikuwa kabla ya shughuli mapemaa asubuhi yake!

Lily, Beatriceee na Aika wakipanga zawadi!

Ndio kitanda kikiwekwa mahala pake, zawadi kutoka kwa mama mkwe!

Hata gari pia ilipendeza.. eeh.. NDIO!


0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA