![]() |
| Jamaa anauwezo wa kuyahamisha macho! mh.. vipaji vingine bana.. Lakini pia huko ulaya, kuna ngazi ambazo zimeambatanishwa na....... sehemu za kutelezea kama utaona ngazi zinakuchelewesha... |
![]() |
| Ukitaka tumia ngazi au teleza..!! |
![]() |
| Sasa huyu mbwa ndio nini tena? |
![]() |
| Mbwa mkubwa kuliko wote Duniani.. Ni picha ya ukweli wala usigune! |
![]() |
| Huyu ni paka wa Kichina! |
![]() |
| Inavyoonesha anataka kuimeza yote lakini anashindwa sababu mdomo mdogo! |
![]() |
| Watoto wanaiga kila kitu, tuwe makini wazazi! |
![]() |
| Ndio wazee hawa wanamaanisha kwani toka 1961, ndipo haswa walipokutana kwa mara ya kwanza! |








0 comments:
Post a Comment