Monday, September 10, 2012
0


"Video ya Albamu yangu mupya iitwayo "Amenitoa mbali" imekamilika, Mungu ambariki sana prodyuza wangu Brayance Works, Hassan Mbangwa kwa kazi nzuri ambayo kila mmoja anabarikiwa na picha alizopiga, pia kwa Distributor wangu Msama Promotions kwa kuwezesha kufanikisha Video! mpendwa katika bwana nakuomba mara ukisikia imeingia sokoni ikimbilie upate kuwa wa kwanza kubarikiwa! jioni njema na mungu awabariki saaaana.." haya ni maneno aliyoaandika Faraja kwenye ukurasa wake wa Facebook..






Ntaboba akiwa jukwaani..


Faraja Ntaboba...



0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA