Monday, September 17, 2012
0



Upendo Nkone ni mwimbaji wa muziki wa Injili Tanzania. Anaimba nyimbo za Mungu na anasauti kubwa sana na kwaya yake wanaweza vizuri kumsaidia. Nkone alizaliwa sehemu ya Kigoma ingawa alipokuwa......


mtoto akahamia mjini Dar es Salaam ambapo akalelewa na kukua vyema. Nyimbo zake nyingi anawaimbia wajane, mayatima na wengine walio na matatizo ili kujipa moyo na kusonga mbele kwa furaha kwa sababu Mungu anawalinda. Ametunga nyimbo za kutosha na zote ni nzuri sana. Hasa nyimbo hizi ‘Usifurahi juu yangu’ na ‘Upendo wa Yesu’ zinapendwa sana na waTanzania. Ndiyo maana yeye ni shujaa wa muziki ya injili ya sasa hizi… JE WEWE UNAMFAHAMU UPENDO NKONE? KUNA MASWALI UNATAKA KUMUULIZA? FANYA HIVYO SASA.. NITAMTAFUTA NA JUMAMOSI UTAPATA MAJIBU YA MASWALI YAKO KUMUHUSU MTUMISHI HUYU WA BWANA..BARIKIWA! tuma maswali yako kupitia elikuda@live.com au kwenye comment box..
Upendo Nkone..

Hapa akiwa vitani dhidi ya yule muovu shetani..

Upendo Nkone akiwa na "pacha" wake Upendo Kilahiro

Upendo Nkone kushoto aliyekaa, pamoja na "pacha" wake Upendo Kilahiro, hapa ilikuwa ughaibuni USA kwenye studio za VOA.. aliyesimama ni mwenyeji wao..

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA