Tuesday, September 18, 2012
0


Albamu mpya ya Muimbaji Faraja Ntaboba sasa iko katika mfumo wa Video.........itafute katika maduka yote nchini upate kuwa wa kwanza kuiona na......


 angalia kiwango cha picha katika video hii, hivi ni nani amesema MUNGU wetu anapenda vitu vya hovyohovyo? Kitu alichokifanya muimbaji Faraja Ntaboba hakika ni cha kuigwa na waimbaji wote wa muziki wa injili, tafuta kazi hiyo alafu uitazame kisha toa maoni yako! Nia ikiwa ni kuboresha kazi … Album hiyo inaitwa “AMENITOA MBALI” Pata nakala yako! Barikiwa.
Faraja Ntaboba na waimbaji wengine wakiwa stejini..

Faraja Ntaboba, akimtukuza Bwana jukwaani..

John Shaaban akiwa na Faraja Ntaboba!

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA