Tuesday, September 18, 2012
0
MARVIN SAPP, muimbaji nguli wa muziki wa injili huko USA, ameachia  video yake kutoka katika “albamu” lake linalokwenda kwa jina la “I WINN” . “kuna nyinbo nyingi nzuri katika albam hii, lakini single hii aahh.. ipo sawa sana” alijinasibu Marvin Sapp.  WATCH  IT, alafu nipe maoni yako..!  

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA