| Akicheza na wajukuu zake.. |
| Binti yake (Beatrice) akimvalisha kofia.. |
| Wakiangalia TV.. |
| Wakiangalia TV.. |
| Familia pamoja.. aliyejishika kidevu ni mama mchungaji |
| Kushoto ni kijana wa kwanza kwa Mchungaji, anaitwa Sunday.. |
| Mhh... |
| Yess.. |
| Kushoto ni binti wa dawa (pekee) wa Mchungaji Dongwe, na kulia ni mama (Mke wa Mchungaji Dongwe) wakifurahia jambo.. |
| Lembo, Kasheba na Beatrice.. wote watoto wa mchungaji Dongwe.. |
| Aleluyah... |
| Msosi sasa, hiyo ni saladi! |
| Matunda, ndio! sio hadi uumwe.. |
| Hapana sio kuku, ni Bata.. mhh.. |
| Ndiziii.. |
| Pilau la njegere.. |
| Chakula.. |
| "Mtoto" alianza kuchukua chakula.. |
| Mama naye akafuatia.. |
| Mhh.. Lembo si usubiri mama amalize!! |
| Vinywaji vya wapendwa ni soda tu.. |
| Sunday akiendelea na msosi.. |
| Kimeshaombewa, karibu tule.. |
| Ba mdogo Kimata akijilamba kwa utamu wa msosi.. chezea! |
| Mama Brilliant, Mke wa Sunday na mkwe wa Mchungaji Dongwe! |
| Cheki alivyotoa macho... si huyu wa katikati Kasheba,, ndio! |
| Lembo akimfungulia "mtoto" soda... Khatariiiii! Lembo lakini! |
| Mchaga utamjua tu!!! Grace au mama Kasheba... mkwe wa mchungaji Dongwe akipata chakula.. |
| Hivi Lembo, Pilau na supu kwelii??? |
| Mama na mwana wanakula na kuteta... |
| Sasa mama mchungaji hapo unasinzia, unafikiri, unacheka au??? aah.. lakini yote ni mema tu! ALELUYAH! |
0 comments:
Post a Comment