Friday, November 09, 2012
0

Jeshi la Nigeria linasema kuwa polisi watatu wameuawa katika mashambulizi yaliyofanyika usiku kucha dhidi ya kituo cha polisi Kaskazaini Mashariki mwa nchi.
Msemaji wa polisi alielezea kuwa makanisa matatu pamoja na shule moja ya msingi....

 ziliteketezwa wakati wa shambulizi hilo mjini Buni Yadi katika jimbo la Yobe.
Aliongeza kuwa wavamizi waliiba silaha kutoka kwa kituo hicho cha polisi.
Haijulikani nani aliyefanya shambulizi hilo ingawa kundi la Boko Haram limekuwa likifanya mashambulizi ya mara kwa mara Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.


0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA