Thursday, December 20, 2012
0
Wakristo kote Duniani, kila ifikapo tarehe 25/Desemba huwa ni muda wa kukumbuka kuzaliwa kwa Bwana wetu MASIAH...YESU KRISTO WA NAZARETI! Lakini swali la kujiuliza ni je......


 tutasherehekea kwa kutafakari yaliyo mema na yale yaliyo ya kumpendeza MUNGU. Kwani wengine hutumia kipindi hiki kufanya yale yanayomchukiza BWANA wa MAJESHI... Ole wako wewe unayeendelea kufanya maovu au wewe unayeweka miadi ya kufanya maovu!

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA