Friday, March 07, 2014
0
Wakati sehemu nyingine kwingineko Duniani kulala au kusinzia kazini ni kitu kisichokubalika. Huko nchini Japan jambo hilo linaruhusiwa tena ni "ALAMA" ya kuonesha kwamba wewe
ni muwajibikaji haswaaa.. Hivyo ukikuta wafanya kazi wa Taasisi fulani ambayo umekwenda kuitembelea huko Japan na ukashuhudia watu wamesinzia kidogo wala usishangae, wewe kaa tulii subiri wataamka na watakuhudumia bila shaka ya aina yoyote.. AMA KWELI DUNIANI KUNA MAMBO!!

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA