Monday, March 10, 2014
0
NAJUA WAJUA NAMI NAKUJUZA WEWE UNAYETAKA KUJUA MEENGI YA DUNIA..
Wanandoa ambao wameishi pamoja kwa kipindi kirefuuu kuliko wote hawa hapa, ni Bw.&Bibi Karam Chand na  Kartari Chand ambao...
hadi tarehe 4 mwezi huu wa tatu 2014 wamefikisha miaka 88 na siku 83 ya ndoa yao!!  Na maisha yao yote hadi sasa wamekuwa wakiishi huko Bradford, United Kingdom..


0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA