ASKARI MWENYE UMRI WA MIAKA 8, Mhh..KWELII?? Thursday, March 27, 2014 Unknown 0 Askari mwenye umri mdogo kuliko wote ambaye alishiriki kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia alikuwa na umri wa miaka 8, na ambaye alipofikisha miaka kumi alipata cheo cha "KOPLO".. Huyu anaitwa Afande Momčilo Gavrić kutokea Serbia.
0 comments:
Post a Comment