Saturday, March 29, 2014
0
 Koo mbili za Wanyazaga na Wambukwa mnyambwa wakiwa wamekusanyika kukizunguka kisima,  kinachosemekana kimejaa maajabu cha Bwibwi kilichopo Katika kijiji cha Iyumbu kilichopo pembezoni mwa Chuo kikuu cha Dodoma; [UDOM],
Kisima hicho kilichovumbuliwa katikati ya miaka 1,800 kiko katika hatihati ya kufukiwa, ili eneo hilo litumike kwa matumizi mengine. Kisima hicho kinachoaminika ni cha maajabu kwani mtu....
akinywa maji yake hupata Mafanikio ya kiafya na kimaisha

SOURCE DODOMA YETU..PICHA NA JOHN BANDA

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA