Sunday, March 16, 2014
0
 Ludwick Marishane kutoka Afrika ya Kusini ndie mbunifu wa "Gell" ambayo ukiipaka tu mwilini na kujisugua nayo, basi unakuwa huna haja ya kutumia maji kwa kuoga, kwani tayari utakuwa safi tena bila kutoa..
harufu mbaya. 
Ubunifu huu ulimpatia Bw.Marishane ambaye ni mwanafunzi wa Chuo cha Cape Town.. tuzo mwaka 2011, tuzo iitwayo "Global Student Entrepreneur of the Year Award" Bw.Marishane anasema kilichomsukuma kuja na ubunifu huo, ni baada ya siku moja. Rafiki yake kulalamikia baridi kali na hivyo kuona uvivu kuoga, kisha akamuuliza Marishane hivi kwa nini mtu asibuni kitu ili tuwe tunapaka tu mwilini badala ya kuoga!!?? Na baada ya hapo kilichofuatia hii leo ni Historia.. 

Usiwe Mbishi sasa.. Kama na wewe unataka "GELL" hiyo nitafute utapata..

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA