Thursday, March 13, 2014
0
Dunia kuna mambo mengi sana, ambayo pengine huyajui wala hujawahi hata kuyasikia, lakini kupitia JAHAZI kidogokidogo utapata wasaa wa kuyafahamu, Mbwa huyu anaitwa NONI yaani kijana mvulana mdogo kwa Kimexican, na alizaliwa akiwa... mzima kabisa, ila kufuatia kipigo kikali alichokipata kutoka kwa vijana wa mitaani huko nchini Mexico, akapata ulemavu baada ya madaktari kuona ni vyema akakatwa miguu ili kunusuru uhai wake. Hivyo akatengenezewa miguu hiyo ya bandia "MATAIRI"  Lakini pia JE WAJUA kwamba kuna Nyoka wenye uwezo wa kuruka kutoka mti mmjoa hadi mwingine kwa umbali wa hadi mita 100!!??? Basi nyoka hawa Bhana wanapatikana huko Asia ya Mashariki.. Huu ni UKWELI MTUPU!! Kweliiiii???

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA