Wednesday, March 12, 2014
0
Mkuu wa mkoa wa Dar-es-salaa, Mh.Said Meck Sadiq amepiga marufuku kwa vyombo vya usafiri aina ya Bajaji, Bodaboda na Baiskeli za magurudumu matatu kuingia katikati ya jiji, kwani... zinavunja sheria lakini pia husababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wengine wa barabara. Usafiri wa Bodaboda umekuwa ukitegemewa na watu wengi haswa jijini Dar-es-salaam, ili kuweza kuwahi sehemu wanazokwenda kutokana na usafiri wa magari kukabiliwa na adha kubwa ya foleni zisizokwisha jijini hapa..  

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA