Thursday, March 20, 2014
0
El Azizia LIBYA
Huko Libya, mwaka 1992 kulirekodiwa joto lililofikia hadi nyuzi joto 57, au waweza sema F 136, na hii ilikuwa ni huko El Azizia. Lakini pia wajua kwamba baridi kali zaidi lililowahi kurekodiwa lilitokea huko  Antarctica's vostok station ambako vipimo vilionesha....
minus -128.6 degrees fahrenheit (minus 89.2 degrees C).. Yaani hata ukipumua pumzi yako unayoitoa inaganda, UPO HAPO!!

Antarctica's vostok station

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA