Saturday, March 15, 2014
0
Chris Brown amepelekwa rumande baada ya kukaidi na kuamua kutoroka kutoka kwenye kituo cha kusaidia watu wenye matatizo ya ulevi na madawa ya kulevya huko Los Angeles.. Mwishoni mwa mwezi wa pili, Jaji aliamuru Brown kupelekwa "REHAB" na akae huko kwa..
kipindi cha miezi miwili, lakini jana jamaa akaamua kuondoka na kusababisha askari kumkamata na kumpeleka rumande kwa kukaidi amri halali.
Sijui madawa ya kulevya na pombe yataendelea kuwatesa vijana wanaofanya sanaa ya muziki hadi lini, hata hapa kwetu Tanzania kwa sasa mambo yameanza kuharibika, mmh khatarii. Tutakujuza kitakachoendelea kuhusiana na Bw.Chris Brown.
Wakati bado hajaanza kutumia maulevi yake, akiongea na mashabiki wake..
Wakati mapenzi yameshika mahali pake na Rihanna..

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA