harufu mbaya.
Ubunifu huu ulimpatia Bw.Marishane ambaye ni mwanafunzi wa Chuo cha Cape Town.. tuzo mwaka 2011, tuzo iitwayo "Global Student Entrepreneur of the Year Award" Bw.Marishane anasema kilichomsukuma kuja na ubunifu huo, ni baada ya siku moja. Rafiki yake kulalamikia baridi kali na hivyo kuona uvivu kuoga, kisha akamuuliza Marishane hivi kwa nini mtu asibuni kitu ili tuwe tunapaka tu mwilini badala ya kuoga!!?? Na baada ya hapo kilichofuatia hii leo ni Historia..
Usiwe Mbishi sasa.. Kama na wewe unataka "GELL" hiyo nitafute utapata..
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.