Monday, March 24, 2014
0
Shereka Fab-Ann Marsh
 Kijana mwenye umri wa miaka 15, amefikishwa mahakamani kwa kosa la mauaji mjini London Uingereza.
Kijana huyo alimuua msichana Shereka Fab-Ann Marsh mwenye umri wa miaka 15 katika mtaa wa....
Hackney siku ya Jumamosi.
Polisi wamesema kuwa msichana huyo alifariki katika nyumba moja mtaani humo saa kumi Jioni.
Kadhalika Kijana huyo ambaye ambaye jina lake halikutajwa kwa sababu ya umri wake mdogo, anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo.
Vijana wengine wawili waliokamatwa kuhusiana na mauaji hayo, wameachiliwa na polisi
Shereka Fab-Ann Marsh
BBC SWAHILI

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA

66204